Deuteronomy 33:12

12 aKuhusu Benyamini akasema: “Mwache mpenzi wa Bwana
apumzike salama kwake,
kwa maana humkinga mchana kutwa,
na yule Bwana ampendaye
hupumzika kati ya mabega yake.”

Copyright information for SwhKC